Rais Museveni kutua Tanzania kesho
DAR ES SALAAM, Tanzania: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi, Februari 7, 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Februari 6, 2026 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, imesema Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, yakilenga kuimarisha … Continue reading Rais Museveni kutua Tanzania kesho
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed