Rais Samia kuzindua Soko la Kariakoo Jumapili

DAR ES SALAAM, Tanzania: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam Februari 8, 2026. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ambaye pia aliwaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa soko hilo. … Continue reading Rais Samia kuzindua Soko la Kariakoo Jumapili