Tume ya Uchunguzi yakutana na Makamu wa Rais Mstaafu

DODOMA, Tanzania: Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 5, 2026, imefanya kikao na Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Philip Mpango, mjini Dodoma. Katika kikao hicho, Tume na Dk. Mpango wamejadili chanzo cha matukio ya uvunjifu wa amani, athari zake … Continue reading Tume ya Uchunguzi yakutana na Makamu wa Rais Mstaafu