Waziri Mkuu awamwagia maua Taifa Stars Bungeni

DODOMA, Tanzania: WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufikia hatua ya 16 bora fainali za Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2025 zilizomalizika mwezi uliopita nchini Morocco na kwamba mafanikio hayo yameitambulisha zaidi Tanzania. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu … Continue reading Waziri Mkuu awamwagia maua Taifa Stars Bungeni