Uholanzi yaunga mkono Tanzania kupunguza antibiotiki kwa kuku

DAR ES SALAAM — Serikali ya Uholanzi imezindua mpango mpya unaolenga kupunguza matumizi ya antibiotiki katika sekta ya ufugaji wa kuku nchini Tanzania, wakati wasiwasi wa kimataifa kuhusu usugu wa vimelea (antimicrobial resistance) na usalama wa chakula ukiendelea kuongezeka. Mpango huo ulizinduliwa katika semina iliyowakutanisha maofisa wa mifugo na madaktari wa wanyama kutoka mikoa ya … Continue reading Uholanzi yaunga mkono Tanzania kupunguza antibiotiki kwa kuku