Waziri Mkuu aonya watumishi wa umma ucheleweshaji miradi
DAR ES SALAAM — Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa watumishi wa umma wanaochelewesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na serikali, akieleza kuwa kushindwa kutumia fedha zilizotolewa kwa wakati ni kitendo kisichokubalika na kinachowanyima wananchi huduma muhimu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Ndungu, Wilaya ya Same, Mkoa … Continue reading Waziri Mkuu aonya watumishi wa umma ucheleweshaji miradi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed