Madai kupiga risasi Oktoba 2025 kuchunguzwa
DAR ES SALAAM: Baada ya machafuko yaliyojitokeza kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025, baadhi ya madai yameibuka kwamba baadhi ya wananchi walipigwa risasi wakiwa ndani ya nyumba zao. Hii ni tuhuma nyeti inayogusa moja kwa moja haki za msingi za binadamu, ikiwemo haki ya kuishi na ulinzi wa kikatiba wa makazi ya … Continue reading Madai kupiga risasi Oktoba 2025 kuchunguzwa
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed