Mahakama yavunja rekodi kesi za kiuchumi

DAR ES SALAAM/DODOMA: Mahakama ya Tanzania imesema imemaliza asilimia 93 ya kesi za kiuchumi na kibiashara zilizofanyiwa kazi kwa haraka katika kampeni ya wiki sita. Hatua hiyo ililenga kupunguza mrundikano wa kesi na kurejesha mabilioni ya shilingi kwenye mzunguko, hatua ambayo mamlaka inasema itaimarisha imani ya wawekezaji. Msajili Mkuu, Eva Nkya, amesema kesi 2,973 zilisikilizwa kati … Continue reading Mahakama yavunja rekodi kesi za kiuchumi