Vikwazo vyapunguza mapato ya nishati Urusi
BRUSSELS: Pesa ambazo Urusi ilipata kutokana na kuuza nje mafuta na gesi zimepungua katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, hata wakati mauzo ya mafuta ya nchi hiyo yakiongezeka kwa kiasi, kulingana na takwimu zilizotolewa siku ya Jumanne, katika kumbukumbu ya miaka minne tangu uvamizi kamili wa Moscow dhidi ya Ukraine. Urusi inategemea sana mapato ya … Continue reading Vikwazo vyapunguza mapato ya nishati Urusi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed