PM ahimiza amani na mshikamano Pasaka
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kulinda amani na utulivu, akieleza kuwa ni msingi muhimu wa ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii. Akizungumza katika maadhimisho ya Pasaka jijini Dar es Salaam, alisema amani ina manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi kwa kuwezesha shughuli za biashara, mahusiano ya kijamii na ibada kuendelea … Continue reading PM ahimiza amani na mshikamano Pasaka
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed