Urithi wa Karume waendelea kuongoza maendeleo Zanzibar
Zaidi ya nusu karne tangu kuuawa kwa rais mwanzilishi wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, dira yake ya usawa wa kijamii inaendelea kuathiri mwelekeo wa maendeleo ya visiwa hivyo, hasa katika sekta za afya, elimu na makazi. Wakati Zanzibar ikiadhimisha miaka 54 tangu kifo chake, sera za sasa chini ya Rais Hussein Ali Mwinyi zinaashiria jitihada … Continue reading Urithi wa Karume waendelea kuongoza maendeleo Zanzibar
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed