Tanzania yataka ushirikiano Bahari ya Hindi
PORT LOUIS — Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kikanda miongoni mwa nchi za Bahari ya Hindi, ikionya kuwa kuongezeka kwa vitisho vya usalama, mvutano wa kisiasa kimataifa na shinikizo la mazingira kunahitaji hatua za pamoja kulinda rasilimali za baharini na maslahi ya kiuchumi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika … Continue reading Tanzania yataka ushirikiano Bahari ya Hindi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed