{"id":821,"date":"2026-03-02T20:51:10","date_gmt":"2026-03-02T20:51:10","guid":{"rendered":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/?p=821"},"modified":"2026-03-02T20:51:10","modified_gmt":"2026-03-02T20:51:10","slug":"tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/","title":{"rendered":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu."},"content":{"rendered":"<p>ARUSHA: Waziri Mkuu wa Tanzania ametishia kuwaweka kwenye orodha nyeusi wakandarasi wanaoshindwa kuwalipa wakandarasi wadogo na vibarua katika miradi inayofadhiliwa na serikali, ikiashiria<br \/>\nmsimamo mkali kuhusu uzingatiaji wa sheria za kazi katikati ya kasi kubwa ya ujenzi wa<br \/>\nmiundombinu ya umma.<\/p>\n<p>Dkt. Mwigulu Nchemba alitoa onyo hilo mjini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la jengo jipya<br \/>\nla bweni la wanafunzi katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela<br \/>\n(NM-AIST). Matamshi yake yalichochewa na lalamiko la hadhara kutoka kwa kijana mmoja<br \/>\naliyesema kuwa hajalipwa kwa kazi ya ujenzi aliyofanya katika hosteli hiyo.<\/p>\n<p>&#8220;Nitazungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili wakandarasi wanaoshindwa kuwalipa<br \/>\nwakandarasi wadogo na vibarua katika miradi ya serikali wawekwe kwenye orodha nyeusi,&#8221;<br \/>\nNchemba alisema, akiashiria kuwa kutolipa kunaweza kusababisha kuondolewa katika zabuni za<br \/>\nbaadaye za serikali.<\/p>\n<p>Hatua hiyo inakuja wakati Tanzania ikipanua matumizi ya umma kwenye miundombinu mikubwa<br \/>\nna elimu ya juu. Lakini Waziri Mkuu aliweka wazi kuwa miradi mikubwa haiwezi kufunika<br \/>\nmapungufu katika uwajibikaji wa msingi au utoaji wa huduma.<\/p>\n<p>Aliwaelekeza wakurugenzi watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kuhakikisha kuwa, ndani ya<br \/>\nmiezi sita ya kwanza ya mzunguko mpya wa bajeti, hakuna shule wala zahanati itakayoachwa bila<br \/>\nvyoo.<br \/>\n&#8220;Kama taifa lenye rasilimali na uchumi wa kati, hatupaswi kusikia kwamba shule au zahanati haina<br \/>\nvyoo,&#8221; alisema. &#8220;Baada ya miezi sita ya bajeti, sitaki kusikia ripoti kama hizo.&#8221;<\/p>\n<p>Matamshi hayo yalisisitiza mvutano mpana katika mataifa yanayokua kwa kasi: kusawazisha<br \/>\nuwekezaji wa miradi mikubwa ya kitaifa na miundombinu muhimu ya kijamii. Nchemba alisema<br \/>\nhaikubaliki kwa Tanzania kujenga moja ya reli za kisasa (SGR) ndefu zaidi barani Afrika wakati<br \/>\nwanafunzi wanapanga foleni kwa ajili ya mahitaji ya msingi ya usafi.<\/p>\n<p>Pia aliitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha ukamilishaji wa haraka wa hosteli<br \/>\nya NM-AIST, akijenga hoja kuwa taasisi hiyo lazima iimarishe nafasi yake kama kituo cha kikanda<br \/>\ncha utafiti wa hali ya juu na uvumbuzi.<\/p>\n<blockquote class=\"wp-embedded-content\" data-secret=\"0pB7t2EK0F\"><p><a href=\"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/02\/18\/nchemba-aonya-matumizi-mabaya-ya-fedha\/\">Nchemba aonya matumizi mabaya ya fedha<\/a><\/p><\/blockquote>\n<p><iframe loading=\"lazy\" class=\"wp-embedded-content\" sandbox=\"allow-scripts\" security=\"restricted\" style=\"position: absolute; visibility: hidden;\" title=\"&#8220;Nchemba aonya matumizi mabaya ya fedha&#8221; &#8212; Tanzania Monitor Swahili\" src=\"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/02\/18\/nchemba-aonya-matumizi-mabaya-ya-fedha\/embed\/#?secret=VUDpiCpA1U#?secret=0pB7t2EK0F\" data-secret=\"0pB7t2EK0F\" width=\"500\" height=\"282\" frameborder=\"0\" marginwidth=\"0\" marginheight=\"0\" scrolling=\"no\"><\/iframe><\/p>\n<p>Alisema katika uchumi wa dunia unaoendeshwa zaidi na teknolojia, Tanzania lazima izalishe wataalamu wenye uwezo wa kutoa suluhu za kisayansi kwa changamoto za kila siku na za kiviwanda.<\/p>\n<p>Matumizi ya serikali katika elimu ya juu yameongezeka kwa kasi chini ya Rais Samia Suluhu<br \/>\nHassan. Kulingana na Nchemba, bajeti ya mikopo ya wanafunzi imepanda kutoka shilingi bilioni<br \/>\n464 hadi zaidi ya bilioni 916, huku udahili ukikua kutoka wanafunzi 177,925 hadi 252,773.<\/p>\n<p>Programu ya Samia Scholarship, ambayo inatoa ufadhili kamili badala ya mikopo, imekusudiwa<br \/>\nkukuza wahitimu wenye ufaulu wa juu waliojitolea kwa maendeleo ya taifa.<\/p>\n<p>Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, alisema NM-AIST ilianzishwa wakati wa urais wa Jakaya<br \/>\nKikwete ili kutoa mafunzo kwa wataalamu wa ngazi ya juu katika sayansi na teknolojia. Tofauti na<br \/>\nvyuo vikuu vingi katika kanda hiyo, chuo hiki kinajikita zaidi katika mafunzo ya uzamili na<br \/>\nuzamivu (Doctoral training).<\/p>\n<p>Makamu wa Mkuu wa Chuo, Prof. Maulilio Kipanyula, alisema mradi huo wa hosteli wa shilingi<br \/>\nbilioni 7.9 utapanua uwezo wa malazi kutoka wanafunzi 279 hadi 459. Kati ya vyumba 184, vyumba<br \/>\n160 vimejitosheleza (self-contained), kukiwa na maeneo maalum kwa ajili ya wanawake wenye<br \/>\nwatoto wachanga, walezi, na wanafunzi wenye mahitaji maalum hatua iliyoundwa kupanua fursa za<br \/>\nmasomo ya juu ya kisayansi.<\/p>\n<p>Huku udahili ukipanda kutoka wanafunzi 600 mwaka 2021\/22 hadi 1,000 hivi sasa, viongozi wa<br \/>\nchuo wanasema uwekezaji zaidi katika watumishi, miundombinu, na biashara ya utafiti utakuwa<br \/>\nmuhimu ili NM-AIST iweze kushindana kama kituo cha ubora barani katika teknolojia za kidijitali.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ARUSHA: Waziri Mkuu wa Tanzania ametishia kuwaweka kwenye orodha nyeusi wakandarasi wanaoshindwa kuwalipa wakandarasi wadogo na vibarua katika miradi inayofadhiliwa na serikali, ikiashiria msimamo mkali kuhusu uzingatiaji wa sheria za kazi katikati ya kasi kubwa ya ujenzi wa miundombinu ya umma. Dkt. Mwigulu Nchemba alitoa onyo hilo mjini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":2,"featured_media":822,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"nf_dc_page":"","content-type":"","om_disable_all_campaigns":false,"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"jnews-multi-image_gallery":[],"jnews_single_post":{"subtitle":"","format":"standard","jnews_video_option_group":[[]],"override":[{"template":"1","parallax":"1","fullscreen":"1","layout":"right-sidebar","sidebar":"default-sidebar","second_sidebar":"default-sidebar","sticky_sidebar":"1","share_position":"top","share_float_style":"share-monocrhome","show_view_counter":"1","show_featured":"1","show_post_meta":"1","show_post_author":"1","show_post_author_image":"1","show_post_date":"1","post_date_format":"default","post_date_format_custom":"Y\/m\/d","show_post_category":"1","show_post_reading_time":"1","post_reading_time_wpm":"300","post_calculate_word_method":"str_word_count","show_zoom_button":"0","zoom_button_out_step":"2","zoom_button_in_step":"3","show_post_tag":"1","show_prev_next_post":"1","show_popup_post":"1","show_comment_section":"1","number_popup_post":"1","show_post_related":"1","show_inline_post_related":"0"}],"image_override":[{"single_post_thumbnail_size":"crop-500","single_post_gallery_size":"crop-500"}],"trending_post_position":"meta","trending_post_label":"Trending","sponsored_post_label":"Sponsored by","disable_ad":"0"},"jnews_primary_category":[],"jnews_override_bookmark_settings":{"override_bookmark_button":"0","override_show_bookmark_button":"0"},"jnews_social_meta":[],"jnews_paywall_metabox":{"paragraph_limit":"2","enable_premium_post":"0","enable_free_post":"0","override_paragraph_limit":"0","enable_preview_post":"0","enable_preview_video":"0"},"jnews_review":[],"enable_review":"","type":"percentage","name":"","summary":"","brand":"","sku":"","good":[],"bad":[],"score_override":"","override_value":"","rating":[],"price":[],"jnews_override_counter":{"view_counter_number":"0","share_counter_number":"0","like_counter_number":"0","dislike_counter_number":"0"},"jnews_post_split":[],"jnews_podcast_option":[],"jnews_podcast_series":[],"footnotes":""},"categories":[12],"tags":[],"jnews-series":[],"class_list":["post-821","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-rasilimali"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO Premium plugin v26.8 (Yoast SEO v27.7) - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-premium-wordpress\/ -->\n<title>Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu. - Tanzania Monitor Swahili<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu.\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Tanzania Monitor Swahili\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2026-03-02T20:51:10+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"1080\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"584\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Sylvester Domasa\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Neema Kisaka\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"3 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"Sylvester Domasa\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63\"},\"headline\":\"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu.\",\"datePublished\":\"2026-03-02T20:51:10+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/\"},\"wordCount\":554,\"commentCount\":0,\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/sites\\\/4\\\/2026\\\/03\\\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg\",\"articleSection\":[\"Rasilimali\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#respond\"]}]},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/\",\"name\":\"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu. - Tanzania Monitor Swahili\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/sites\\\/4\\\/2026\\\/03\\\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg\",\"datePublished\":\"2026-03-02T20:51:10+00:00\",\"author\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63\"},\"description\":\"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/sites\\\/4\\\/2026\\\/03\\\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/wp-content\\\/uploads\\\/sites\\\/4\\\/2026\\\/03\\\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg\",\"width\":1080,\"height\":584},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/2026\\\/03\\\/02\\\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu.\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Tanzania Monitor Swahili\",\"description\":\"\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/tanzaniamonitor.com\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63\",\"name\":\"Sylvester Domasa\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"\\\/\\\/www.gravatar.com\\\/avatar\\\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm\",\"url\":\"\\\/\\\/www.gravatar.com\\\/avatar\\\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm\",\"contentUrl\":\"\\\/\\\/www.gravatar.com\\\/avatar\\\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm\",\"caption\":\"Sylvester Domasa\"},\"url\":\"\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO Premium plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu. - Tanzania Monitor Swahili","description":"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu.","og_description":"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.","og_url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/","og_site_name":"Tanzania Monitor Swahili","article_published_time":"2026-03-02T20:51:10+00:00","og_image":[{"width":1080,"height":584,"url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Sylvester Domasa","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Neema Kisaka","Est. reading time":"3 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/"},"author":{"name":"Sylvester Domasa","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/#\/schema\/person\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63"},"headline":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu.","datePublished":"2026-03-02T20:51:10+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/"},"wordCount":554,"commentCount":0,"image":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","articleSection":["Rasilimali"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#respond"]}]},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/","url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/","name":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu. - Tanzania Monitor Swahili","isPartOf":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","datePublished":"2026-03-02T20:51:10+00:00","author":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/#\/schema\/person\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63"},"description":"Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atishia kuwaorodhesha wakandarasi wasiowalipa wadogo na vibarua katika miradi ya serikali.","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#primaryimage","url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","contentUrl":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","width":1080,"height":584},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/2026\/03\/02\/tanzania-yachukua-hatua-kali-dhidi-ya-wakandarasi-wasio-waaminifu\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Tanzania yachukua hatua kali dhidi ya wakandarasi wasio waaminifu."}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/#website","url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/","name":"Tanzania Monitor Swahili","description":"","potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/#\/schema\/person\/f4d2b3ab0b3b2f44ccaab945651ccc63","name":"Sylvester Domasa","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"\/\/www.gravatar.com\/avatar\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm","url":"\/\/www.gravatar.com\/avatar\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm","contentUrl":"\/\/www.gravatar.com\/avatar\/66293ef8012b19dd415b6b83398b1901?s=96&#038;r=g&#038;d=mm","caption":"Sylvester Domasa"},"url":""}]}},"jetpack_featured_media_url":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-content\/uploads\/sites\/4\/2026\/03\/WAZIRI-MKUU-AZINDUA-STENDI-YA-MABASI-YA-DKT.-SAMIA-WILAYANI-HANANG\u25aa\ufe0fAtaka-fedha-zitafutwe-kujeng.jpg","amp_enabled":true,"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/821","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=821"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/821\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":823,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/821\/revisions\/823"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/822"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=821"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=821"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=821"},{"taxonomy":"jnews-series","embeddable":true,"href":"https:\/\/tanzaniamonitor.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/jnews-series?post=821"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}