• Kuhusu Sisi
  • Tangaza
  • Mawasiliano
  • Privacy & Policy
Tanzania Monitor Swahili
Advertisement
  • Mwanzo
  • Uchumi
  • Biashara
  • Rasilimali
  • Utalii & Utamaduni
  • Siasa
  • Vifafanuzi
  • Multimedia
  • Michezo
  • English
No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Uchumi
  • Biashara
  • Rasilimali
  • Utalii & Utamaduni
  • Siasa
  • Vifafanuzi
  • Multimedia
  • Michezo
  • English
No Result
View All Result
Tanzania Monitor Swahili
No Result
View All Result
Home Utalii & Utamaduni

Msikiti wenye miaka 700 Kilwa utaleta fedha utalii

Jenipher Sanga by Jenipher Sanga
February 6, 2026
in Utalii & Utamaduni
Reading Time: 1 min read
0 0
0
Msikiti wenye miaka 700 Kilwa utaleta fedha utalii
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

DODOMA, Tanzania: SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka nguvu kwenye maeneo ya utalii wa kihistoria ya kidini na kutolea mfano wa msikiti wenye miaka zaidi ya 700 Kilwa mkoani Lindi.

Amesema kama Wizara ya Maliasili na Utalii ikijipanga vizuri kwa maeneo hayo inaweza kusaidia kupatikana kwa watalii zaidi ya milioni nne kwa mwaka kwa maeneo ya kihistoria ya kidini ikiwemo msikiti huo uliopo eneo la Songo Mnara, Kilwa, hivyo kuingiza fedha za kutosha.

Spika Zungu ametoa kauli hiyo leo Februari 6, 2026, muda mfupi baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof Kitila Mkumbo kumaliza kufanya majumuisho ya hoja mbalimbali za wabunge kwenye hotuba yake kuhusu Mpango Elekezi wa Muda mrefu wa miaka 25 (2026/27 hadi 2050/51), Mpango wa Nne wa Maendeleo wa miaka mitano (2026/27 hadi 2030/31) na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2026/27.

Amesema lazima mambo yaende kisasa, kwani Misri wanaingiza fedha kwa utalii kupitia maeneo ya kihistoa ya kidini, hivyo hata Tanzania hilo linawezekana kwa mipango imara ya maeneo ya kihistoria ya dini ya kiislamu na kikristo na kutolea mfano wa kanisa la Zanzibar lenye zaidi ya miaka 200.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Msikiti Mkuu wa Kilwa, unatajwa kwamba ni mkubwa zaidi kujengwa Kusini mwa Jangwa la Sahara katika karne ya 11.

Related Posts

Utalii & Utamaduni

Tanzania tourism surges 130% since 2021

January 24, 2026

23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

December 8, 2025
  • Trending
  • Comments
  • Latest

Hello world!

1

Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

0

macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

0

Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

0
Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

April 15, 2026
Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

April 15, 2026
Wabunge wapendekeza maboresho mikopo ya serikali

Wabunge wapendekeza maboresho mikopo ya serikali

April 15, 2026
Masoko ya mitaji yaimarisha uwekezaji wa wananchi

Masoko ya mitaji yaimarisha uwekezaji wa wananchi

April 15, 2026

Habari Mpya

Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

April 15, 2026
Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

April 15, 2026
Wabunge wapendekeza maboresho mikopo ya serikali

Wabunge wapendekeza maboresho mikopo ya serikali

April 15, 2026
Masoko ya mitaji yaimarisha uwekezaji wa wananchi

Masoko ya mitaji yaimarisha uwekezaji wa wananchi

April 15, 2026
Nchimbi awataka mabalozi kuimarisha diplomasia ya uchumi

Nchimbi awataka mabalozi kuimarisha diplomasia ya uchumi

April 15, 2026
Papa Leo aanza ziara ya siku 10 Afrika

Papa Leo aanza ziara ya siku 10 Afrika

April 15, 2026
Tanzania Monitor Swahili

Jukwaa la kimataifa la lugha nyingi linaloelezea uchumi wa Tanzania, uwekezaji, utamaduni, utalii na michezo kupitia taarifa za kuaminika zinazotokana na takwimu.

Tufuatilie

Vinjari kwa mgawanyo

  • Biashara
  • Habari Kuu
  • Michezo
  • Rasilimali
  • Siasa
  • Uchumi
  • Uncategorized
  • Utalii & Utamaduni
  • Vifafanuzi

Habari Mpya

Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

Tume ya uchunguzi yaibua imani ya uwazi

April 15, 2026
Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

Tanzania yataka ushirikiano wa teknolojia duniani

April 15, 2026
  • Kuhusu Sisi
  • Tangaza
  • Mawasiliano
  • Privacy & Policy

© 2026 Tanzania Monitor.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In

Add New Playlist

No Result
View All Result
  • Mwanzo
  • Uchumi
  • Biashara
  • Rasilimali
  • Utalii & Utamaduni
  • Siasa
  • Vifafanuzi
  • Multimedia
  • Michezo
  • English

© 2026 Tanzania Monitor.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?
Go to mobile version