Marekani yaondoa wafanyakazi wake Beirut
WASHINGTON: Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inawaondoa wafanyakazi wa serikali wasio wa lazima na wanafamilia wao kutoka ubalozi wa Marekani mjini Beirut, kutokana na kuongezeka kwa wasiwasi wa hatari ya mzozo wa kijeshi na Iran. “Tunatathmini mazingira ya usalama kila mara, na kulingana na ukaguzi wetu wa hivi karibuni, tumeona ni busara kupunguza … Continue reading Marekani yaondoa wafanyakazi wake Beirut
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed